Mkoa wa Kagera ni eneo linalowahifadhi wakimbizi kutoka nchi jirani kama Burundi. Baadhi ya wakimbizi hao walikuwa wanajeshi ambao waliacha silaha zao katika baadhi ya makambi. Kamanda wa polisi ...
Mkoa wa Kagera pia unapakana na nchi ya Rwanda ambapo ugonjwa huo ulilipuka kutoka Septemba mpaka Disemba mwaka jana ambapo watu 65 walipata maambukizi na 15 kufariki dunia. Hata hivyo WHO ...