Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Bukoba imemhukumu adhabu ya kifungo cha miaka minne jela, Jacob Alphonce baada ya kumkuta na hatia ya kosa la mauaji bila kukusudia.