Viongozi wa nchi na serikali za Afrika wameafiki Azimio la Dar es Salaam yaani 'Dar es Salaam Energy Declaration' linalolenga kuhakikisha upatikanaji wa umeme kwa watu milioni 300 barani Afrika ...