Hivi karibuni serikali ya Tanzania ilithibitisha watu watano kati ya wanane kufariki dunia kutokana na ugonjwa wa virusi vya homa ya Marburg katika mkoa wa Kagera, Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo.
Mkoa wa Kagera pia unapakana na nchi ya Rwanda ambapo ugonjwa huo ulilipuka kutoka Septemba mpaka Disemba mwaka jana ambapo watu 65 walipata maambukizi na 15 kufariki dunia. Hata hivyo WHO ...