News
Rais wa China Xi Jinping anasema hakuna "mshindi katika vita vya ushuru" kwani Beijing inakabiliwa na ushuru wa 145% kwa ...
“Mafuriko haya yanaonesha janga la ‘mgogoro maradufu’ — ambapo mishtuko ya hali ya hewa inazidisha mateso yanayosababishwa na vita na uhamishaji wa watu ... DRC 120,000 wamekimbilia Burundi, Tanzania ...
“Ndani ya mwaka mmoja ndani ya Ziwa Victoria, vinatokea vifo takribani 5,000 vya wavuvi ndani ya maji na si kwa upande wa Tanzania pekee, ni pamoja na Kenya na Uganda. Lori likiwa limebeba boti ...
Kulingana na Doudou Fwamba, waziri wa fedha wa DRC, kuendelea kukaliwa kwa maeneo makubwa katika mikoa ya Kivu Kaskazini na Kivu Kusini kunasababisha hasara ya 4.5% ya mapato ya bajeti ya serikali.
Nchini Sudan Kusini, kituo pekee cha afya kinachomilikiwa na Madaktari wasiokuwa na mipaka ... yanatishia kurejesha nchi hiyo kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe. Soma zaidi mada inayofanana: ...
Tanzania's main opposition party CHADEMA said on Tuesday its disqualification from elections due later this year was unconstitutional, days after its leader was arrested and charged with treason ...
Akizungumza leo Aprili 14,2025 Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Ephrahim Mafuru, amesema tuzo hizo zimekuwa chachu ya ubunifu, ushindani na kuboresha viwango vya huduma duniani kote.
TANZANIA na Angola zimetia saini hati za makubaliano zinazolenga kudumisha sekta uchumi, na mambo ya kiusalama yenye kukuza ushirikiano kati ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yatakayofungua fursa ...
The highly anticipated Uganda-Tanzania Trade Mission 2025 has officially commenced in Kampala, Uganda, under the theme "Building Stronger Trade Partnerships for Long-Term Prosperity." This week-long ...
TANZANIA imechaguliwa kuwa mwenyeji wa tuzo za kimataifa za utalii ‘World Travel’ na hafla ya kutangaza washindi wa Kanda ya Afrika na Bahari ya Hindi itakayofanyika Juni 28, 2025 Dar es Salaam chini ...
Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), imeingia makubaliano ya miaka ... Amesema lengo ni kudhibiti visumbufu mbalimbali vya mazao ili kukabiliana na usugu wa baadhi ya sumu hizo.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results