Serikali imetangaza nafasi 2,611 za ajira Februari 10, 2025 huku kati ya nafasi hizo asilimia 98 ni za walimu wa kada mbalimbali. Uamuzi wa Wakili ulitangazwa na mwenyekiti wa CCM Taifa, Mwalimu ...
Ukosekanaji wa huduma salama za utoaji mimba, husababishwa na mazuio ya kisheria ambayo yamefafanuliwa kwenye vifungu hivyo.
Ushindi huu unaifanya Tanzania kuthibitisha uwepo wa wataalamu wake wenye sifa za kushika nafasi za uongozi wa kimataifa. Ni ...
Ushindi huu unaifanya Tanzania kuthibitisha uwepo wa wataalamu wake wenye sifa za kushika nafasi za uongozi wa kimataifa. Ni ...
Miezi sita tangu Mwananchi kiripoti uhaba na uchakavu wa vyoo katika Stendi Kuu ya Mbeya, Halmashauri ya Jiji hilo limeboresha miundombinu hiyo huku wananchi wakipongeza hatua ya utekelezaji ...
Simba inaongoza msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa na pointi 47 na Dodoma Jiji FC inashika nafasi ya 11 ikiwa na pointi ...
Serikali ya Tanzania imeanza kufuatilia utekelezaji wa katazo la matumizi ya kuni na mkaa kwa taasisi za umma na binafsi ...
Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) lipo kwenye hatua za manunuzi za mradi wa kuagiza na kusimika vituo vya Gesi Asilia (CNG) vinavyohamishika katika barabara ya Dar es Salaam kuelekea Dodoma.
Mbunge huyo amehoji vituo vingapi vya umahiri vya sayansi na teknolojia na akili mnemba katika taasisi za elimu ya juu vimeanzishwa.
Waasi wa M23 wamerejesha mashambulizi yao Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), baada ya kukaa kimya siku ...
Waliofuatia ni Emily Adolf (1995), Shose Sinare (1996), Saida Kessy (1997), Basilla Mwanukuzi (1998) na Hoyce Temu (1999) ...