STAA wa soka, Sergio Aguero amelazimika kuangua kicheko cha aibu baada ya kuahidi kwamba atakata korodani zake endapo kama ...
ERIK ten Hag muda wowote simu yake inaweza kuita kwa ajili ya kupewa mchongo wa kwenda kuinoa Feyenoord ya huko kwao Uholanzi ...
ARSENAL majanga yanaendelea kuikumba timu yao baada ya straika wao Kai Havertz kuumia wakati wakiwa kwenye mazoezini huko Dubai.
KUMEKUCHA. Mastaa wa Manchester United wameanza kuhoji mfumo wa kocha wao Ruben Amorim wakimtaka bosi huyo Mreno kubadili staili yake ili mambo yaende sawa, imeelezwa.
MSHAMBULIAJI wa Dodoma Jiji, Wazir Jr Shentembo amejiunga na Al Mina'a FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Irak akimfuata Simon Msuva anayekipiga katika timu ya Al Talaba.
WAZEE wa Mapigo na Mwendo, Mashujaa ya Kigoma imefikisha dakika 630 bila kuonja ushindi katika Ligi Kuu Bara baada ya juzi ...
KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola bado anahitaji saini ya kiungo wa Bayer Leverkusen na Ujerumani, Florian Wirtz, 21, ...
KATIKA Ligi Kuu Bara kwenye mechi za wiki hii ilishuhudia Yanga na JKT Tanzania zikitoka 0-0. Na juzi Jumanne, Simba nayo ...
NI ndoto ya vijana wengi wa Kitanzania kufika levo ya Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ya kucheza Ligi kubwa barani ...
KAGERA Sugar ina kibarua cha kupambana ili kuepuka kushuka daraja kutokana na mambo yalivyo kwa upande wao msimu huu katika ...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesogeza mbele mchezo baina ya Simba na Dodoma Jiji FC ambao ratiba ya awali inaonyesha ...
HAPO zamani magoli katika kandanda yalikuwa sababu kubwa ya mizozo na hata kuifanya michezo kumalizika kabla ya muda ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results