News
Kampeni hiyo imeibua wananchi wengi hasa kinamama ambao wengi wamedhulumiwa haki zao za kumiliki mali baada ya waume zao kufariki dunia na ndugu wa mume kuwanyang’anya mali zao. Hivi sasa kampeni hiyo ...
SERIKALI mkoani Kagera imejipanga kukabiliana na suala la magendo ya kahawa huku ikiahidi kuwachukulia hatua wale wote watakaobainika wakijihusisha na magendo hayo. Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Erasto ...
Baada ya kupoteza Khartoum, wanamgambo wamezidisha mashambulizi yao huko Darfur Kaskazini. El-Fasher ni mji mkuu wa mwisho wa mkoa ulio nje ya udhibiti wao huko Darfur. Katika taarifa mpya ...
Je, msuguano huu unaozidi kuwa mbaya na kutia wasiwasi kati ya serikali ya Marekani, utawala wa Trump, na mahakama utaipeleka wapi Marekani? Kwa sababu katika enzi hii ya Trump 2, Ikulu ya White ...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewateua wasanii wafupi wakiongozwa na Tausi Degela, Pimbi na Hamisi, kwa lengo la kusaidia kutoa elimu na kutangaza mafanikio makubwa ya Serikali ...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema ujenzi wa daraja la Jangwani litakalokuwa na urefu wa mita 390 unatarajiwa kuanza rasmi mwezi ujao. Ujenzi wa daraja la Jangwani utagharimu Sh97 ...
Wananchi wakishiriki operesheni maalumu ya kufanya usafi Mjini Chake Cheke ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Mgeni Khatib Yahya aliyevalia mtandio rangi ya manjano. Pemba. Mkuu wa Mkoa wa ...
Jeshi hilo limesema ulinzi utaimarishwa kipindi chote cha kabla na baada ya mchezo ili kuwahakikishia usalama mashabiki watakaojitokeza. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Abubakar ...
SIKU za mwanzoni za Juma Kaseja ndani ya Kagera Sugar baada ya kukabidhiwa ukocha mkuu zilikuwa tamu sana kutokana na mwenendo mzuri ambao timu hiyo ilikuwa nao wakati kipa huyo wa zamani wa Simba ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results