News
Kampeni hiyo imeibua wananchi wengi hasa kinamama ambao wengi wamedhulumiwa haki zao za kumiliki mali baada ya waume zao kufariki dunia na ndugu wa mume kuwanyang’anya mali zao. Hivi sasa kampeni hiyo ...
Ameitaja mikoa hiyo ambayo haijaungwa na gridi ya Taifa ni Rukwa, Lindi, Mtwara, Katavi Sumbawanga na baadhi ya wilaya katika Mkoa wa Kagera, licha ya kuwepo ongezeko la wateja waliounganishiwa kutoka ...
TIMU ya wataalamu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria kwa kushiriana na waratibu wa kampein ya msaada wa kisheria ya Mama Samia wametoa mafunzo ya mwongozo wa kuwasaidia wananchi wa Mkoa wa Kagera ...
TANROAD Mkoa wa Kagera imetenga bajeti ya Sh bilioni 12 kwa mwaka 2024/2025 kwa ajili ya matengenezo ya kawaida ya barabara hali inayopelelea kukabiliana na dharura wakati wowote.
Razalo, kupitia ujumbe kwenye mitandao ya kijamii na baadaye katika mazungumzo na Mwananchi, amesema gari hilo linashikiliwa na polisi, huku mali nyingine ikiwemo nyumba ziko hatarini kupigwa mnada.
Singida ilianza michuano hiyo kwa kuitoa Magnet ya Dar es Salaam kwa kuichapa 2-0, kisha hatua ya 32 Bora ikawatupa nje tena Mabingwa wa Mkoa wa Kagera, Leo Tena kwa mabao 4-0 na katika 16 Bora ...
Timu zilizofuzu ni Singida Black Stars iliyoitoa KMC FC kwa kuichapa bao 1-0, maafande wa JKT Tanzania wakaichapa Mbeya Kwanza mabao 3-0, huku Kagera Sugar ikiitoa ... ikafuzu hatua hiyo baada ya ...
Vikosi vya Kamati ya Kujilinda ya Miski vimekuwa vikiwazuia maafisa wa serikali kuingia katika mkoa huo kwa miaka kadhaa. Mikataba mingine iliyohitimishwa mwaka 2019 na 2023 ilivunjwa kutokana na ...
Kulingana na vyanzo vya ndani, mapigano hayo yalichochewa na shambulio la kuvizia la Wazalendo dhidi ya wapiganaji wa AFC/M23. Mapigano hayo yalijiri katikati mwa Kabamba na mji jirani wa Mabingu ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results