News

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kupitia Mkoa wa Kikodi Kagera, imeendesha operesheni kubwa ya kudhibiti ukwepaji wa kodi kwa njia ya uzalishaji wa pombe kali kinyume cha sheria. Katika operesheni ...
Mwakarobo ni jina la kawaida tu la asili ya watu wa Mkoa wa Mbeya, hasa Tukuyu. Sasa, tarehe 9 Aprili 2025, Simba imeingia dimbani Benjamin Mkapa kurudiana na Al Masry, na kuichapa 2-0 na kufanya ...
Rais wa zamani wa Kongo Joseph Kaila Kaange ambaye ... miongoni mwa wafuasi wake viongozi kadhaa wa mashirika ya kijamii kutoka mkoa wa Kivu Kaskazini, ambao baadhi yao wanasemekana kuwa na ...
Wakati wa mazungumzo kwa njia ya simu mnamo Aprili 7 yaliyodumu dakika 25, Ishiba na Trump walikubaliana kuwa watateua mawaziri watakaosimamia mazungumzo na kuendelea na majadiliano.
Mkuu wa Operesheni za Umoja wa Mataifa za Ulinzi wa Amani, Jean-Pierre Lacroix amesema zama za sasa walinda amani hawasimamii tu maeneo ya mapigano bali wanakabiliana na migogoro mchanganyiko, kampeni ...
Tamasha la kila mwaka katika Mji wa Namie, Mkoa wa Fukushima, lilifanyika karibu na njia ya kilomita 1.5 iliyo na miti 120 ya micheri kando ya Mto Ukedogawa. Wakazi wa eneo hilo wameendelea ...
Kawia ufike. Ni neno unaloweza kueleza baada ya uongozi wa Tanzania Prisons kuwaita wadau kujadili namna ya kuinusuru timu hiyo kukwepa aibu ya kushuka daraja. Prisons yenye makazi yake Ruanda, jijini ...
Timu zilizofuzu ni Singida Black Stars iliyoitoa KMC FC kwa kuichapa bao 1-0, maafande wa JKT Tanzania wakaichapa Mbeya Kwanza mabao 3-0, huku Kagera Sugar ikiitoa ... ikafuzu hatua hiyo baada ya ...
“Kwanza kabisa tunaungana na kamati tendaji kupitia kwa Rais wa Yanga injinia Hersi kuwa kwa pamoja matawi yote ya Mkoa wa Kagera hatutacheza tunachohitaji ni kupatiwa pointi zetu na magoli yetu ...
Marekani imeendeleza mashambulizi yake ya anga katika mji mkuu wa Yemen, Sanaa usiku wa kuamkia leo Jumamosi na kuua mtu mmoja.Marekani katika taarifa yake imesema mashambulizi ya hivi karibuni ...
Hali hiyo ikiendelea, vikosi vya upinzani vimeripoti kwamba kumekuweko na mashambulizi kutoka angani hasa kwenye mkoa wa Sagaing, ambao nao umekumbwa na tetemeko la ardhi. Shirika la Umoja wa Mataifa ...