News

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza ... kila moja ikiwa na thamani ya dola 100 walizotaka kuziingiza kwenye mzunguko wa fedha,” amesema DCP Mutafungwa. Aidha amwtaja waliokamatwa kuwa ni pamoja na Frank ...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kupitia Mkoa wa Kikodi Kagera, imeendesha operesheni kubwa ya kudhibiti ukwepaji wa kodi kwa njia ya uzalishaji wa pombe kali kinyume cha sheria. Katika operesheni ...
Mwakarobo ni jina la kawaida tu la asili ya watu wa Mkoa wa Mbeya, hasa Tukuyu. Sasa, tarehe 9 Aprili 2025, Simba imeingia dimbani Benjamin Mkapa kurudiana na Al Masry, na kuichapa 2-0 na kufanya ...
Wakati wa mazungumzo kwa njia ya simu mnamo Aprili 7 yaliyodumu dakika 25, Ishiba na Trump walikubaliana kuwa watateua mawaziri watakaosimamia mazungumzo na kuendelea na majadiliano.
Mkuu wa Operesheni za Umoja wa Mataifa za Ulinzi wa Amani, Jean-Pierre Lacroix amesema zama za sasa walinda amani hawasimamii tu maeneo ya mapigano bali wanakabiliana na migogoro mchanganyiko, kampeni ...
Kawia ufike. Ni neno unaloweza kueleza baada ya uongozi wa Tanzania Prisons kuwaita wadau kujadili namna ya kuinusuru timu hiyo kukwepa aibu ya kushuka daraja. Prisons yenye makazi yake Ruanda, jijini ...
Mustakabali wa Safari Rally ni upi kwa miaka ijayo? WRC imejitolea kupanua ushirikiano wake na Safari Rally Kenya na mazungumzo kuhusu kandarasi mpya ya muda mrefu na serikali ya nchi hiyo ...
Timu zilizofuzu ni Singida Black Stars iliyoitoa KMC FC kwa kuichapa bao 1-0, maafande wa JKT Tanzania wakaichapa Mbeya Kwanza mabao 3-0, huku Kagera Sugar ikiitoa ... ikafuzu hatua hiyo baada ya ...
“Kwanza kabisa tunaungana na kamati tendaji kupitia kwa Rais wa Yanga injinia Hersi kuwa kwa pamoja matawi yote ya Mkoa wa Kagera hatutacheza tunachohitaji ni kupatiwa pointi zetu na magoli yetu ...
Marekani imeendeleza mashambulizi yake ya anga katika mji mkuu wa Yemen, Sanaa usiku wa kuamkia leo Jumamosi na kuua mtu mmoja.Marekani katika taarifa yake imesema mashambulizi ya hivi karibuni ...
Hali hiyo ikiendelea, vikosi vya upinzani vimeripoti kwamba kumekuweko na mashambulizi kutoka angani hasa kwenye mkoa wa Sagaing, ambao nao umekumbwa na tetemeko la ardhi. Shirika la Umoja wa Mataifa ...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Thérèse Kayikwamba Wagner, amefanya ziara rasmi nchini Afrika Kusini Lengo ni kutoa shukrani kwa nchi za Jumuiya ya kiuchumi ya kusini ...