News
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Emmanuel Nchimbi amepiga marufuku wimbo unaobeza na kuchochea chuki dhidi ya ...
Hali hii inaendelea kuimarika kutokana na matumizi ya vyandarua vyenye dawa pamoja na chanjo hiyo, hasa katika maeneo ya ...
TANZANIA na Angola zimetia saini hati za makubaliano zinazolenga kudumisha sekta uchumi, na mambo ya kiusalama yenye kukuza ushirikiano kati ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yatakayofungua fursa ...
Rwanda imekubali vikosi vya Jumuiya ya SADC vilivyokuwa vikipambana na waasi mashariki mwa Congo kuondoka kupitia ardhi yake ...
Rwanda imekubali vikosi vya Jumuiya ya SADC vilivyokuwa vikipambana na waasi mashariki mwa Congo kuondoka kupitia ardhi yake ...
Kulingana na Doudou Fwamba, waziri wa fedha wa DRC, kuendelea kukaliwa kwa maeneo makubwa katika mikoa ya Kivu Kaskazini na Kivu Kusini kunasababisha hasara ya 4.5% ya mapato ya bajeti ya serikali.
Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA nchini (ICTC), Dk Nkundwe Mwasaga wakati akifungua Jukwaa la Nne la Usalama wa Kimtandao la Tanzania 2025 jijini Arusha jana linalokutanisha kwa ...
The highly anticipated Uganda-Tanzania Trade Mission 2025 has officially commenced in Kampala, Uganda, under the theme "Building Stronger Trade Partnerships for Long-Term Prosperity." This week-long ...
Dar es Salaam. Vita vya kibiashara kati ya Marekani na China vinaendelea kushika kasi, huku mataifa hayo mawili makubwa kiuchumi duniani yakizidi kutunishiana misuli kwa kupandishiana ushuru, hali ...
Pamoja na vita vya ushuru, uvumi uliichukulia Brazili - moja ya nchi zilizoathiriwa kidogo na ushuru wa Trump kwa maana hii - kama mahali panapowezekana kwa uwekezaji katika utengenezaji wa kifaa na ...
KAMPALA, UGANDA | THE INDEPENDENT | The Government of Uganda has received over 1,000 litres of biolarvicide from the United Republic of Tanzania to support efforts in eradicating malaria and other ...
Mfalme na Mkewe watembelea kisiwa cha Ioto kuwaenzi waliofariki katika Vita Vikuu vya Pili vya Dunia
Mfalme wa Japani Naruhito na Mkewe Masako wametembelea kisiwa cha mbali cha Ioto ili kutoa heshima zao kwa wanajeshi na raia waliofariki huko katika Vita Vikuu vya Pili vya Dunia. Wanandoa hao wa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results