News

Sio swali tena kuhusu Chadema itashiriki au haitoshiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, kinachowatafakarisha wadau wa ...
Padri Albert Kusekwa wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu Jimbo Katoliki la Geita, amewataka ...
Kila jimbo kimeanza kuweka watu wa maadili wa chama hicho kwa kushirikiana na Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi ...
Baada ya kutoka kuiondoa Al Masry katika hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba itakuwa na kibarua ...
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Tatu Hamis (51) mkazi wa Kijiji cha Kibangile Tarafa ya Matombo wilayani Morogoro ...
Serikali imesema mpango wa kutofungamana na upande wowote, umeendelea kuifanya Tanzania kutokuwa na uadui na mataifa mengine.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amelitaka Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kukirasimisha rasmi, kukitambua na kusajili Chama cha ...
Katika kuhakikisha kampeni ya upandaji miti inaendelea nchini, Serikali kupitia Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za ...
Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Mwambapa, ametajwa kuwa Kiongozi anayeongoza kwa uwezeshaji Barani Afrika ...
Kifo ni fumbo la imani. Ni kauli ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko alipozungumza na Mwananchi ...
Tanzania iko mbio kuacha kuagiza vipulizi na baruti kutoka nje ya nchi. Kila mwaka Tanzania inaagiza vilipuzi milioni 10 na ...
Waziri wa Afya Zanzibar, Ahmed Nassor Mazrui amesema utafiti uliofanywa na wizara hiyo kwa kushirikiana na taasisi nyingine, ...