![](/rp/kFAqShRrnkQMbH6NYLBYoJ3lq9s.png)
Africa - Nation
Get the Latest News from Africa on Nation. Includes live news and latest stories from Politics, Business, Technology, Sports and more.
News - Nation
PRIME CBK rejects new bank-owned T-bond trading platform, targets deep pocketed investors Sector regulator says the move preferred by many countries will ensure that there is transparency and low complexity. Business & Tech 6 hours ago
Yanga ni wao tu Ligi ya Mabingwa Afrika, Ramovic ashtukia mchezo
Jan 6, 2025 · Matokeo ya mechi ya mwisho kati ya Yanga na MC Alger, ambayo itachezwa jijini Dar es Salaam, yatajumuisha uamuzi wa moja kwa moja kuhusu ni nani atakuwa kati ya timu zitakazofuzu maana Waarabu hao nao wanayo nafasi, lakini pia hata TP Mazembe wenye pointi mbili kwa sasa wakiburuza mkia, nafasi wanayo ikitokea wakishinda mechi zote mbili huku Yanga na MC Alger wapoteze zote, hata hivyo hesabu ...
Yanga katika namba Ligi ya Mabingwa Afrika | Mwanaspoti
Jan 20, 2025 · Wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wamekwama kutinga hatua ya robo fainali ya mashindano hayo baada ya kutoka sare tasa nyumbani juzi, Jumamosi dhidi ya MC Alger ya Algeria. Matokeo hayo yaliifanya Yanga kufikisha pointi nane ambazo hazikutosha kuiwezesha kumaliza katika ...
Tanzania ishindwe yenyewe tu CHAN 2025 | Mwanaspoti
Jan 16, 2025 · DROO ya mashindano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) 2024, itakayofanyia Agosti mwaka huu, imefanyika juzi huku Tanzania ikiangukia kundi 'B' na timu za Mauritania, Madagascar, Burkina Faso na Jamhuri ya Afrika ya Kati. Katika droo hiyo iliyochezeshwa juzi katika Ukumbi wa Mikutano ...
Wikiendi ya turufu muhimu Ligi Kuu Bara | Mwanaspoti
Nov 22, 2024 · HAKUNA zaidi ya hesabu wikiendi hii kwenye Ligi Kuu Bara. Zinapigwa mechi tatu muhimu kwenye Ligi Kuu Bara ingawa kwa namna yoyote haziwezi kumchomoa aliyeko kileleni.
Droo ya Klabu Bingwa Dunia kufanyika leo | Mwanaspoti
Dec 5, 2024 · Timu zilizofuzu kucheza mashindano haya ni zile ambazo zilifanya vizuri kwenye mashindano ya Klabu Bingwa misimu minne iliyopita ambayo hufanyika kila Bara ambapo Bara la Ulaya (UEFA) limeongoza kwa kutoa timu 12, Afrika (CAF), Asia (AFC) na Amerika ya Kaskazini (Concacaf), zitatoa timu nne kila mmoja wakati Amerika ya Kusini (Conmebol) yenyewe itatoa timu sita huku Bara la Oceania (OFC ...
Arsenal, Man City kumaliza ubishi Emirates leo | Mwanaspoti
5 days ago · Mechi tano zilizopita baina yao, Arsenal imeshinda moja, Man City mbili huku mbili nyingine zikimalizika kwa sare. Lakini, kwa ujumla wake kwenye rekodi zao za Ligi Kuu England, miamba hiyo imekutana mara 55, ambapo Arsenal imeshinda 24, mara 13 nyumbani na 11 ugenini, huku Man City ikiwa imeshinda 19, mara 12 nyumbani na saba ugenini.
Matano aanza mbwembwe Fountain Gate | Mwanaspoti
Jan 11, 2025 · KOCHA mpya wa Fountain Gate, Mkenya Robert Matano amewaahidi mashabiki na viongozi kutegemea mambo makubwa ndani ya timu hiyo, huku jambo kubwa analotaka ni sapoti ili wafanye vizuri katika mashindano mbalimbali. Matano aliyekuwa anakifundisha kikosi cha Sofapaka nchini Kenya, alitangazwa ...
Taifa Stars kanyaga twen’zetu Afcon 2025 | Mwanaspoti
Nov 12, 2024 · Morocco atahitaji kuwajengea wachezaji wake mbinu za kutumia mwanya wa ulinzi dhaifu wa Ethiopia, hasa katika kipindi cha kwanza. Ethiopia wamekuwa wakifungwa haraka kipindi cha kwanza, na katika kipigo cha mwisho dhidi ya Guinea kwenye kinyang’anyiro cha kufuzu kwa AFCON, walifungwa mabao yote matatu ndani ya dakika 23 tu za kipindi cha kwanza.